Baada ya young dee kujitoa kwenye kundi liliondwa na watu watatu (mtu che) , Young killer alitangaza kujiunga na waktoa ngoma yao mpya kuonyesha kurudi kwao lakini hata hivyo video haikufanyika pamoja na kuitwa na uongozi wa mdb ili wapewe video ya bure.
Leo wametoa rasmi video hiyo mtandaoni japo ijumaa iliyopita walishaitambulisha kwenye kipindi cha friday night live(fnl) cha sam missago Eatv.