Sunday, December 14, 2014

AY ft Sean Kingston & Ms Triniti | Video & Audio

Msanii wa Hiphop AY ametoa video ya kibao chake kipya!!! ambacho amewashirikisha Sean Kingston na Mis Triniti kinachoitwa "Touch me touch me" cheki video yake hapo na ujionee jinsi gani wabongo tupo juu!!