Saturday, December 5, 2015

New Music : Christian Bella Ft Koffi Olomide - Acha Kabisa | Listen & Download Mp3

Mkali wa mamelodi Cristian bella juzi kati alienda south africa kushoot video ya nagharamia na alikiba ambayo iliongozwa na director wa kenya Enos olik. Akiwa njiani kurudi nchini Tanzania inasemekana alipitia kufanya audio na Mkali wa kongo Koffi olomide ambaye kwa sasa anatesa na audio yake ya Ekotite.


Download_Mp3_Hapa