Saturday, October 31, 2015

Mafikizolo ft Diamond video next month

baada ya kukata tamaa na kollabo ya msanii diamond akiwashirikisha mafikizolo ambayo imetimiza mwaka na mezi kadhaa tangu wasanii hao waahidi itatoka hatimaye jana diamond ndio ameiambia mtv kupitia twiutter kwamba video ya collabo hiyo itafanyika mwei ujao.