Recently mkali wa mdogo mdogo aliehit kwenye his one and only hit Number one amerelease nyimbo yake mpya inayoitwa Nitampata wapi aliyoifanya Burn records kwa Clever touch na Kuifanyia video south africa kwa Godfather production pata nafasi ya kuisikiliza kuiangalia na kuidownload.
Download mp3
