Msanii wa miondoko ya afro pop alietamba na vibao kama me and you nainai ndangushima na vingine vingi amefanya remix ya wimbo wake uliowahi kufanya vizuri wa tupogo ambao kwa sasa ameufanyia kwa version ya mchiriku ni shidaah mpya,,pata nafasi ya kuangalia video hiyo ambayo imeafanywa na mtu mzima adam juma...
Ommy Dimpoz-Tupogo Remix Official Video | Video