Sunday, January 18, 2015

Avril Ft Ommy Dimpoz- Hello Baby | Audio

Hit maker wa ndangushima Ommy dimpoz ambae kwa sasa anahit na remix ya tupogo aliyofanya kwa manwalter ameshirikishwa na Mwanadada Avril kutoka kenya kufanya hichi nilichokuletea....Ni sheedah hebu endelea kuangalia sije mikaunguza jikoni sababu ya kutype..U bachelor huu!!!