Thursday, January 8, 2015

Nay wa mitego-Akadumba | Official video

Baada ya kurelease audio ya nyimbo yake mpya ya Akadumba msanii wa miondoko ya hiphop ametoa video hiyo ikiwa ashirio la kuanza mwaka vizuri ...pata nafasi ya kuiangalia hapa na utoe maoni