Monday, January 12, 2015

Nazizi – OVER YOU | Audio

Baada ya kufanya kibao na TID mkali wa kitambo Nazizi Afanya Ngoma nyingine Iitwayo Over you Aliyeproduce Sappy ambaye amefanya ngoma ya Joh makini na gnako XO Na pia Video Amefanyia kwa Cream Vision Ambae alishawahi kufanya video na wasanii kama menina na Prezzo...

Download Mp3