Baada ya kukosa jimbo muimbaji afande sele ambaye alikuwa akligombania kwa tiketi ya chama cha wazalendo ACT Afande sele amesema kwamba kwa sasa machabiki wake amewagawa kwa siasa na haamini kama wanaweza kumfanyia mziki na soko la kulipa hivyo anacha mziki nakuelekeza nguvu kwenye kilimo cha mbogamboga na matunda.
Afande Sele atangaza kuacha mziki na kuamia Kwenye Kilimo