Friday, October 30, 2015

Game ya Navykenzo yashika number 1 kwenye top 10 za urban TRACE TV


Kundi la mziki la navykenzo la endelea kufanya vizuri na kuwa ontop baada ya kutoa kibao chao walichomshirikisha Vanessa mdee -GAME ambacho kiliwatambulisha kimataifa na kuwafanya wafanye vizuri kwenye vituo mbali mbali.. Na safari hii wameshika nafasi ya kwanza kwenye top ten za trace urban