Friday, October 30, 2015

Kionjo cha Nakutunza- Barnaba ft Jose Chameleone

Baada ya kushindwa kuachia kibao chake alichofanya na Jose chameleone , barnaba aliomba msamaha na kuwaambia mashabiki zake kwamba anawahidi leo ataachia kiunjo cha nyimbo hiyo.

Barnaba alisema kupitia ukurasa wake wa instagram

Na Izi ni Sekunde Kama 10 Za kusikiliza Kipande Kidogo Cha #Nakutunza and Muziki ni Kama Chakula au maji Najua wengi Mnakiu Mwaweza Kunywa maji Kidogo …..InspirationVoice. / Demo… Loading……..5/November Jesus Is my Power aleluya!!”