Friday, October 30, 2015

Chege na Mafikizolo Kufanya collabo ?

Msanii wa bongo Chege baada ya kuruka mbaka south kufanya video ya nyimbo yake aliyofanya na Mkali wa Gallado "Runtown" alikutana na director wao justin campos lakini kuna tetesi ya uwezekano wa kufanya collaboo na wakali kutoka south africa Mafikizolo.

Akizungumza na uongozi wa blog ya bongo5 manager wa chege Julio Batalia alisema wamekwisha ongea na mafikizolo kuhusu collabo hiyo ivyo tuombe heri na collabo hiyo inaweza kufanyika mda wowote.