Friday, October 30, 2015

Soggy Doggy atoa sababu ya kuchelewa kutoka kwa Video yake Ya Nafunga zipu

Msanii na mkongwe wa sanaa soggy doggy aliewahi kutamba na kibao chake cha Kibanda cha simu Soggy doggy ameeleza sababu ya kuchelewa kwa muda mrefu sana.

Mkongwe huyo Soggy doggy amesema kwamba director wa video hiyo Msafiri Shabani  alipata tatizo la kuibiwa vifaa vya kufanyia kazi hivyo  kimoja ya kifaa hicho kilikua na material za video hiyo hivyo kusababisha material hizo kupotea.