Msanii wa nigeria aliyewahi kushirikishwa kwenye hit ya Shikorobo ya Shetaa na pi kufanya nyimbo na wasanii maarufu kama Diamond na Davido KCEE ameshangaza mashabiki wake kwa kugeuka muhudumu wa ndege hiyo huku akivaa mavazi ya cabin crew ya ndege hiyo.
Kcee ambaye ni Brand ambasador wa ndege za Air peace za nigeria amefanya hivyo kama moja ya kazi yake ya ubalozi wa kampuni hiyo.
<<Fastjet wanafaa kuiga kitendo hiki huku tanzania kwa msanii wetu Diamond >>