Wednesday, October 28, 2015

Chege ndani ya south afrika na Vanessa mdee,Runtown na Director Justin Campos. Kushoot video mpya

Msaniii chege aonekana kutua south afrika kushoot video ya nyimbo aliyofanya na runtown na uhuru,akiwa huko ameonekana kuwa na vanessa mdee,runtown na director justin campos wa gorilla films.



Director Justin Campos amechukua soko la wasani la video Tanzania kwa kiasi kikubwa,amewahi kufanya video kama
Nusunusu ya Johmakini
No body but me ya Vanessa mdee
Jux- Looking for you
Navykenzo - Game
Vanessa mdee - never ever
Yemi aade - Taking over me
Diamond ft Doniel-Wangu

Na nyingine nyingi,Huku nguvu ya God father n wasanii wa tanzania ikishuka