![]() |
| Picha inayomuonesha Barnaba classic akiperform |
Barnaba ameahidi bendi yake kuwa ya utofauti na bendi nyingine
"“Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi sitapiga kama wengine kwenye maukumbi, sitafanya hivyo. Bendi yangu itakuwa ni kwaajili ya shughuli maalum, kwenye sherehe kubwa, matukio yoyote makubwa itakuwa inafanya,” ameongeza."

