Mkali wa godwin Korede bello amewaacha mdomo wazi followers wake baada ya kupost picha mara nyingi akiwa na tiwa savage,Hatusemi kwamba anatembea nae ila je kuna uhusiano gani?Wawili hao ambao wote wapo chini ya label ya mavin records inayomilikiwa na Don jazzy wanaonekana kuelewana sana,Pengine ni mahusiano ya kimuziki na ka ni hivyo basi tusubiri nyimbo ya wawili hao.
Korede belllo alipost picha hii nakuandika “Plenty fish for sea but Omo see Koté.”
