Saturday, October 31, 2015
Baada ya kufukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa nidhamu na vitendo vichafu Manager wa
Kcee superstar aliechini ya Label Ya
Fivestar music
Soso Soberekon amesemekana kusamehewa na kurudishwa kazini baada ya picha zilizoenea zikimuonesha manager huyo akila launch na
kcee
Manager huyo amewahi kufanya matukio ya ajabu ikiwemo kutangaza kifo cha msanii wake kabla ya kutoa albamu ili kuipa kick albamu hiyo.
Hivyo manager huyu haitakuwa jambo la kushangaza tukisikia hata kufukuzwa kwake kulikuwa ni kwa ajili ya kick ya label hiyo.