Msanii wa nigeria aliewahi kutamba na vibao kama Johnny,Tangerine,Kissing na vingine vingi ameahidi kuachoa vdeo compilation ya video zake akiimba ,akicheza akiwa stejini akiwa chumb ani na vingine vingi ikiwemo video za mashabiki zake na kuiipa ujumla wa video hizo Jina la "Looking for my Johnny"Yemi Alade kuachia Looking for my johhny Video Cmpilation November hii
Msanii wa nigeria aliewahi kutamba na vibao kama Johnny,Tangerine,Kissing na vingine vingi ameahidi kuachoa vdeo compilation ya video zake akiimba ,akicheza akiwa stejini akiwa chumb ani na vingine vingi ikiwemo video za mashabiki zake na kuiipa ujumla wa video hizo Jina la "Looking for my Johnny"