Monday, October 19, 2015

Msikilize huyu Mzee wa Kimasai akiongea kingereza...Utacheka sana.


Kuna baadhi ya makabila watu wake wakiongea lugha ya kingereza inakuwa kama kituko, katika pita pita zangu nimekutana na huyu mzee wa kimasai kiukweli kanifurahisha sana nikaona nikushirikishe na wewe kumwangalia mzee huyu wa kimasai akimwaga Ung'eng'e.Mtazame hapa chini: