Saturday, October 31, 2015

Neyo na Alikiba Kufanya collabo?

Juana neyo aliripotiwa kufanya show uganda ,Lakini katika hali ya kushitua msanii alikiba amekuwa karibu sana na neyo baada ya kushiriki nae cokestudio afrika sana ameonekana kuvuta nae shisha back stage je hii inatuashiria kollabo kati ya wakali wawili hao??