Saturday, October 31, 2015

Picha:Jamaa akutana na yeye kwenye ndege

Jaribu kufikiria unapanda kwenye ndege hauna habari na una hasira kwakuwa ujapanda na rafiki na hauna company umekaa tuu, ghafla unashangaa unakiona kitu kama kioo chako kwenye ndege yaani mtu amefanana na wewe exactly kama photocopy alafu na yeye hana company na mmeshare siti moja. ndivyo ilivyotokea kwa jamaa huyu na wakaamua kujenga urafiki huku jamaa akipost insta,