Saturday, October 31, 2015

Drama zazuka Insta Baada ya Girlfriend wa iyanya kumtakia Birtday Iyanya

Katika hali isiyo ya kawaida mpenzi wa iyanya Frida Francis alijikuta katika wakati mgumu na bumbuwazi la sitomfahamu baada ya kumtakia mpenzi wake huyo happy birthday. Kila mtu amezuka na lake wengi wakimlaumu na kumsema mpenzi huyo.

Picha zinaonyesha habari yote hii