Juzi wizkid alitua dar kufanya show leaders club na kufanikiwa kufanya show stage moja na diamond platnumz ambapo baada ya show walikutana na kesho yake walipata launch ya pamoja.
Hii ni hali wazi kwani diamond ni kama simba ambaye hutumia kila nafai anayokutana nayo hivyo tutegemee collabo ya wawili hao muda wowte kanzia sasa.
Diamond na wizkid walipiga picha na kila mtu kati ya wawili hao aliipost kwenye instagram yake.


