Monday, November 2, 2015

Video:Wema aizawadia range rover kwenye birthday yake







Msanii wa bongo movie ambaye alihairisha birthday yake siku sahihi ambayo ilitakiwa kufanyika kutokana na kuwa bize na kampeni za uchaguzi aliahidi kufanya birthday hiyo mbeleni na jana alidhihirisha kuifanya birthday yake ambapo mastaa mbali mbali walialikwa.

Chini ni video inayomuonesha akijizawadia gari aina ya range rover kwenye birthday yake hiyo jana.