Friday, November 20, 2015

Exclusive:Sakata zima la Alikiba na Daimond kuhusu kudhulumiwa tuzo.



Msanii Kingkiba aliyewahi tamba na hit kama ChekechaCheketua na Mwana pia "Nagharamia ambayo aliifanya hivi karibuni na msanii christian bella. alipost wiki iliyopita baada ya kukosa tuzo zote nne alizoshirikishwa kwenye Afrimama na kuandika kwamba anahisi kuna mchezo mchazu unafanyika ili yeye akose tuzo.

Hit maker huyo Wa "Rockstar40" aliandika
Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba,” post ambayo baadae aliifuta.
Uongozi wa Diamond Platnumz kama walengwa walijibu kwenye kipingi cha xxl  na kusema kwamba asiyekubali kushindwa si mshindani hivyo wao wanaona si mshindani.

Babu tale ambaye ni mmoja wa mamanager wa diamond aliandika

 “Mimi naona asiyekubali kushindwa sio mshindani,” alisema. “Hata sisi tumeshawahi kuingia kwenye tuzo ambazo na yeye aliongea maneno hayo alikuwepo na akashinda na hakuna mtu yeyote aliongea sijui mmenunua tuzo. Mimi nilijua mashabiki ndio wanaongea mpaka msanii anapost kitu kama kile nikahisi labda kuna mtu amehack akaunti yake. Kwahiyo nilivyoona vile nikamhukumu sio mshindani,” alisema Tale.

Hata hivyo baada ya mda kupita alikiba  alifuta post yake hiyo ya instagram akidai kwamaba anahisi watu watakua walimuelewa vibaya

Alikiba alizungumza haya akiwa kwenye kipindi cha ala za roho na Diva.alisema

“watu walinielewa vibaya mimi nilikua nawaambia mafans wangu, sababu wao ndo wananipigia Kura mimi sikumaanisha kuhusu tuzo walinielewa vibaya”

“Siwezi ku-post kitu kuhusu Kushinda Kwao, unajua hakuna uzalendo. watu wangapi wanafanya Vitu vizuri hawapongezwi? Mimi nafanya vingapi? Sisi sio wazalendo…Unajua watu mimi hawanijui Wanahisi kama mimi nina ringa hivi au nina wivu, ila mimi nawapenda wasanii wote pia mziki mzuri”

“Mimi sina tatizo na Diamond, nasikia kashida tuzo 3, nampongeza Sana sababu tumepata mtu ambaye anatutambulisha kimataifa ni Kitu poa Sana…Mimi na Diamond we are good” alimaliza Alikiba.


Baada ya yote hayo Website ya tanzania "Bongo5" ilimtafuta moja ya watu wa management ya Alikiba na kumuuliza juu ya kinachoendelea na yeye alikuwa na yake ya kujibu.


Mtu huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe, alidai kuwa kuna watu ambao wamekuwa wakifanya kila wawezalo ili kuhakikisha kuwa Alikiba hafanikiwi kimataifa.

Ametolea mfano video za Mwana na Chekecha Cheketua pamoja na kuwa na viwango vinavyokubalika na kuongozwa na waongozaji mahiri barani Afrika, kituo cha MTV Base hakijawahi kuzicheza na wanapokuwa wakiuliza sababu wameshindwa kupewa maelezo yasioeleweka.

“Tunawatumia  MTV Base, video wanazipokea na wanatuma confirmation ya kuzipitisha lakini hatuelewi kwanini hawazichezi tena,” amesema.

Amedai kuwa waliwapa Soundcity kipaumbele cha kucheza video ya Mwana kwa mara ya kwanza lakini baada ya hapo video hiyo haikuwahi kuchezwa tena.

“Hata zile Top Ten East yao haikustahili kuingia kweli?  Kuna video ngapi za Afrika Mashariki zinaingia kwenye top ten na zingine ni za kawaida tu iweje Mwana isichezwe?” amehoji.

“Kinachoshangaza zaidi, kuna watu wanawaambiaga wasanii ukitaka kutoboa tobo kimataifa lazima upitie kwao.”

Kwa mifano hiyo amedai kuwa Alikiba anahisi kuna watu wanaofanya kila njia hata kwa kumwaga fedha ili kuhakikisha kuwa jitihada anazozifanya hazifiki popote na kwamba kitu hicho kinamnyong’onyeza sana.

Hayo na mengine mengi ndiyo aliyodai jamaa huyo.

Hata hivyo alikiba ameonyesha kwamba hana kinyongo na Diamond kwa kumpongeza.

Na pia uongozi wa diamond mwishoni ulisema kwamba wao hawana shida kwani wanahisi ulikua ni msukumo wa mashabiki ndio uliompelekea alikiba kupost maneno yale. diamond platnumz nana diamond platnumz songs diamond platnumz instagram diamond platnumz house diamond platnumz ccm diamond platnumz ft neyo diamond platnumz na zari diamond platnumz 2015 diamond platnumz video diamond platnumz videos diamond platnumz all song diamond platnumz age diamond platnumz audio diamond platnumz and wema sepetu diamond platnumz ayola diamond platnumz afrimma 2015 diamond platnumz and neyo diamond platnumz ashinda tuzo diamond platnumz apata mtoto diamond platnumz afrimma awards diamond platnumz a freemason diamond platnumz a.&.m records diamond platnumz baby diamond platnumz bongo5 diamond platnumz blog diamond platnumz big brother diamond platnumz background diamond platnumz birthday diamond platnumz biograph diamond platnumz binadamu wabaya diamond platnumz biography diamond platnumz binadam wabaya diamond platnumz chanda chema diamond platnumz cars diamond platnumz ccm video diamond platnumz chanda chema mp3 diamond platnumz ccm download diamond platnumz ccm new song diamond platnumz chanda chema mp3 download diamond platnumz cnn interview diamond platnumz current news diamond platnumz dangote diamond platnumz download diamond platnumz daily diamond platnumz download mp3 diamond platnumz download music diamond platnumz donald diamond platnumz dna diamond platnumz daily instagram diamond platnumz dating diamond platnumz doughter diamond platnumz email diamond platnumz ft diamond platnumz ft iyanya diamond platnumz facebook diamond platnumz ft kcee diamond platnumz ft chris brown diamond platnumz ft davido diamond platnumz ft ney wa mitego new song diamond platnumz ft iyanya bum bum diamond platnumz ft iyanya nakupenda diamond platnumz ghana diamond platnumz gongo la mboto diamond platnumz ghafla diamond platnumz ghafla news diamond platnumz girlfriend diamond platnumz girlfriends diamond platnumz gay diamond platnumz gossip diamond platnumz new girlfriend diamond platnumz muziki gani diamond platnumz history diamond platnumz habari diamond platnumz house and cars diamond platnumz hairstyle diamond platnumz habari leo diamond platnumz habari za leo diamond platnumz hip hop diamond platnumz house photos diamond platnumz hisia zangu mp3 diamond platnumz instagram websta diamond platnumz image diamond platnumz instrumental diamond platnumz images diamond platnumz interviews diamond platnumz in south africa diamond platnumz in nigeria diamond platnumz i love you diamond platnumz instragram is diamond platnumz illuminati is diamond platnumz a freemason is diamond platnumz dead is diamond platnumz a member of illuminati is diamond platnumz married is diamond platnumz sick is diamond platnumz a gay is diamond platnumz a member of freemason who is diamond platnumz dating thi is diamond platnumz diamond platnumz jisachi diamond platnumz jamii forum diamond platnumz jangwani diamond platnumz jana diamond platnumz and jokate diamond platnumz na jokate diamond platnumz na jackline wolper diamond platnumz vs jokate diamond platnumz ft j martins diamond platnumz na jeneza profesa j ft diamond platnumz professor j ft diamond platnumz diamond platnumz kisa diamond platnumz kosa langu diamond platnumz kosa langu nini diamond platnumz kizaizai diamond platnumz kwanini diamond platnumz kosa langu download diamond platnumz kizaizai mp3 download diamond platnumz kisa mp3 download diamond platnumz kamwambie diamond platnumz kwanini mp3 download diamond platnumz lala salama diamond platnumz love boat diamond platnumz lyrics diamond platnumz leo diamond platnumz lala salama mp3 diamond platnumz lala salama mp3 download diamond platnumz live show 2015 diamond platnumz live show diamond platnumz lala ukisinzia diamond platnumz lala salama lyrics diamond platnumz music diamond platnumz mp3 diamond platnumz mpya diamond platnumz my number one diamond platnumz mbagala diamond platnumz moyo wangu diamond platnumz mawazo mp3 diamond platnumz magufuli diamond platnumz mdogo mdogo diamond platnumz mbagala mp3 diamond platnumz new song diamond platnumz nana mp3 diamond platnumz na mtoto wake diamond platnumz nyimbo mpya diamond platnumz net worth diamond platnumz nana lyrics diamond platnumz nana video diamond platnumz nana mp3 download diamond platnumz n wema sepetu diamond platnumz onana diamond platnumz on facebook diamond platnumz on instagram diamond platnumz october 2015 diamond platnumz onana video diamond platnumz on citizen tv diamond platnumz official video diamond platnumz on stage diamond platnumz onana mp3 diamond platnumz onanana diamond platnumz photos diamond platnumz photo diamond platnumz picha diamond platnumz picture diamond platnumz photo on instagram diamond platnumz profile diamond platnumz picha mpya diamond platnumz photoz diamond platnumz photos download diamond platnumz picha zake diamond platnumz quotes diamond platnumz remix diamond platnumz relationship with wema sepetu diamond platnumz real name diamond platnumz remix my number one diamond platnumz remix number one diamond platnumz rmx diamond platnumz relationship diamond platnumz reverbnation diamond platnumz religion diamond platnumz riches diamond platnumz songs list diamond platnumz show diamond platnumz shows diamond platnumz songs free download diamond platnumz story diamond platnumz song ccm diamond platnumz stori diamond platnumz state house diamond platnumz songs mp3 diamond platnumz twitter diamond platnumz tuzo diamond platnumz top story diamond platnumz tanzania diamond platnumz tuzo za afrimma diamond platnumz tawile diamond platnumz tutakukumbuka diamond platnumz tiffah diamond platnumz tz diamond platnumz tanga diamond platnumz ukimwona diamond platnumz ukimwona mp3 diamond platnumz uswazi remix diamond platnumz utube diamond platnumz ukimuona diamond platnumz ukimuona mp3 download diamond platnumz utanikumbuka diamond platnumz ukisinzia diamond platnumz upofu diamond platnumz updates diamond platnumz video songs diamond platnumz video download diamond platnumz video mpya diamond platnumz videos download diamond platnumz vs diva diamond platnumz vs alikiba diamond platnumz vote diamond platnumz videos songs diamond platnumz wangu diamond platnumz wimbo mpya diamond platnumz wikipedia diamond platnumz websta diamond platnumz waptrick diamond platnumz wedding diamond platnumz website diamond platnumz wealth diamond platnumz wife diamond platnumz wasafi mkasi with diamond platnumz diamond platnumz xxl diamond platnumz you tube diamond platnumz yutube diamond platnumz youtube channel diamond platnumz your my number one diamond platnumz you are my number one diamond platnumz songs youtube diamond platnumz nyumba yake diamond platnumz kesho youtube diamond platnumz sukari ya warembo diamond platnumz na mama yake diamond platnumz zari diamond platnumz zanzibar diamond platnumz hisia zangu diamond platnumz show zake diamond platnumz nyumba zake diamond platnumz kizai zai diamond platnumz - number one zippy diamond platnumz number 1 diamond platnumz number 1 mp3 diamond platnumz number 1 lyrics diamond platnumz number 1 mp3 download diamond platnumz number 1 download diamond platnumz no 1 diamond platnumz namba 1 diamond platnumz number 1 video diamond platnumz number 1 song diamond platnumz number 1 free mp3 download number 1 diamond platnumz number 1 diamond platnumz mp3 number 1 diamond platnumz lyrics my number 1 diamond platnumz my no 1 diamond platnumz download number 1 diamond platnumz number 1 by diamond platnumz mp3 download diamond platnumz 1 diamond platnumz 2015 songs diamond platnumz 2015 new songs diamond platnumz 2014 diamond platnumz 2013 diamond platnumz 2012 diamond platnumz 2013 songs diamond platnumz fiesta 2013 diamond platnumz fiesta 2012 diamond platnumz show 2013 diamond platnumz number one 3gp diamond platnumz bongo 5 bongo 5 diamond platnumz
alikiba ft christian bella alikiba chekecha alikiba video alikiba ft davido alikiba school baby alikiba new song alikiba music alikiba instagram alikiba mp3 alikiba songs alikiba audio alikiba all songs alikiba alikiba alikiba all song alikiba and jokate alikiba ayaya alikiba and neyo alikiba adithi alikiba abdukiba alikiba akiwa kenya is alikiba a freemason is alikiba a member of illuminati alikiba bongo alikiba bonge la nyau alikiba baby alikiba bongo5 alikiba blog alikiba breaking news alikiba bella alikiba blood fans instagram alikiba bela alikiba biography alikiba chekecha mp3 alikiba cheketua alikiba ccm alikiba chekecha cheketua video alikiba chekechua alikiba com alikiba cinderella alikiba chekechacheketua alikiba cheketua mp3 alikiba dushelele alikiba davido alikiba diamond alikiba dunia alikiba dusherere alikiba downloads alikiba diamondi alikiba demo alikiba download music alikiba download alikiba ela alikiba every thing alikiba everything mp3 alikiba everthing alikiba esp alikiba every things alikiba my everything alikiba my everything mp3 alikiba my everything mp3 download alikiba my everything lyrics alikiba ft alikiba ft diamond alikiba ft ne_yo alikiba ft fally ipupa alikiba ft sauti sol alikiba feat neyo alikiba ft victoria alikiba fb alikiba girlfriend google alikiba godzilla alikiba milele godzila alikiba alikiba pretty girl alikiba ft godzilla alikiba kabila gani alikiba single girl alikiba mchezo gani ali kiba and his girlfriend alikiba hela alikiba hella alikiba hela video alikiba hela mp3 download alikiba habari mpya alikiba hela download alikiba hasara roho alikiba hela audio alikiba hadithi alikiba hadithi mp3 alikiba intagram alikiba istagram alikiba image alikiba in coke studio alikiba insta alikiba interview alikiba imani alikiba instagram websta alikiba instrumental alikiba i miss you i miss u alikiba alikiba jokate alikiba joketi alikiba joket alikiba jiwa je alikiba ni freemason je alikiba ni fremason je alikiba freemason je alikiba ni mwanachama wa freemason alikiba ft jaydee alikiba na jackline wolper baby j alikiba alikiba kimasomaso alikiba kimwana alikiba kenya alikiba kidela alikiba karim alikiba kishtobe alikiba kiboko alikiba kizunguzungu alikiba kalim alikiba kiboko yao alikiba leo alikiba lyrics alikiba lulu alikiba losa alikiba live show alikiba live alikiba lolilo alikiba latest news alikiba latest song 2015 alikiba latest songs alikiba mwana alikiba mpya alikiba mwana mp3 alikiba musc alikiba muziki alikiba mziki alikiba mapenzi yana run dunia alikiba new alikiba na davido alikiba na diamond alikiba nyimbo mpya alikiba na neyo alikiba njiwa alikiba neyo alikiba new songs alikiba na wema alikiba official alikiba on instagram alikiba october 2015 alikiba one8 alikiba on twitter alikiba on facebook alikiba one alikiba old songs alikiba on coke studio alikiba of tanzania alikiba picha alikiba photo alikiba photos alikiba pesa alikiba pita mbele alikiba picha zake alikiba peace one day alikiba peace day alikiba profile alikiba pictures alikiba rosa alikiba rose alikiba run dunia mp3 alikiba run dunia alikiba rosa mp3 download alikiba rwanda alikiba ruby alikiba run dunia download alikiba remix alikiba roza alikiba r kelly r kelly ft alikiba alikiba school alikiba sindelela alikiba school baby mp3 alikiba song alikiba school beby alikiba sikuoni alikiba sabrina alikiba single boy mp3 alikiba tanzania alikiba tz alikiba tuzo alikiba tuzo za afrimama alikiba twitter alikiba today alikiba top story alikiba tanzanian artist alikiba tubidy alikiba twiter alikiba usiniseme alikiba usinisemee alikiba usiniseme download alikiba usiniseme mp3 alikiba uaminifu alikiba udaku alikiba uvumilivu alikiba usiniseme lyrics alikiba ugali dagaa youtube alikiba usiniseme alikiba videos alikiba vs diamond alikiba vidio alikiba video chekecha alikiba vs davido alikiba video mpya alikiba vs diamond 2015 alikiba video download alikiba vs neyo alikiba wife wa dunia alikiba wikipedia alikiba wife alikiba wimbo alikiba wapdam alikiba wimbo mpya alikiba waptrick alikiba wife wa dunia mp3 download alikiba wajua nakupenda alikiba wife dunia alikiba youtube alikiba yote yale alikiba yakarima alikiba yakalim alikiba yatima alikiba ya karim mp3 alikiba your my everything alikiba you are my everything alikiba ya karim alikiba yaya alikiba zindola alikiba zuzu alikiba zaidi yangu alikiba zaidi yangu mp3 alikiba zindola mp3 alikiba nyimbo zake alikiba nyimbo zote alikiba ishara zangu alikiba video zake 107 ali kiba 107 ali kiba 107 single boy alikiba 2015 songs alikiba 2015 alikiba 2013 alikiba 2014 alikiba 2012 alikiba 2012 songs alikiba 2010 alikiba 2013mp3 alikiba songs 2013 alikiba mpya 2013 alikiba 4real alikiba 4 real alikiba bongo 5 bongo 5 alikiba alikiba one 8