Mama Mzazi wa Augulst alsina amkemea mwanake kwa kujana Familia this news Friday, November 6, 2015 Kua wa Kwanza Kutoa Maoni Mama Mzazi wa msanii wa rnb marekani August alsina ameandika kwa kupitia ukurasa wake wa twotter kukemea hali ya mwanake kuikana familia. Hali hii imetokea baada ya wiki iliyopita augulst alsina kuwafokea familia yake kwamba wamemgeuka na hawampi support yoyote hivyo yeye hana Familia. Mama yake ameyapost haya. Umeipenda Hiyo? Sambaza :