Baada ya kutengana na uongozi wake na kurelease kibao cha ujanjaujanja young dee ameonekana kwenye picha na nyandu toz ,na wawili hao wameeleza kwamba wameruka huko kufanya show yaomaeneo ya pritoria south afrika.Yound dee Aruka south kufanya show
Baada ya kutengana na uongozi wake na kurelease kibao cha ujanjaujanja young dee ameonekana kwenye picha na nyandu toz ,na wawili hao wameeleza kwamba wameruka huko kufanya show yaomaeneo ya pritoria south afrika.
