Friday, November 6, 2015

Picha: Wakenya Waingia kwenye mgogoro na wazimbabwe


Wakenya wameingia kwenye mgogoro na wazimbabwe siku mbili zilizopita baada ya Spectator kuandika habari zisizorasmi ya kwamba Rais wa Zimbabwe Robert mugabe amewadharau wakenya na kuwaita wezi.
Habari hizo zisizo rasmi zimefungwa hata hivyo Habari hizo ziliripoti kwamba Robert mugabe ameandika haya
"Those people of East Africa shock me with their wizardry in stealing. Sometimes I tend to believe that stealing is in every Kenyan's blood….You can even think that there is a subject in their universities called Bachelor of Stealing".