Monday, November 23, 2015

New Video Ney Wa Mitego (Official Video) - Nyumbani Kwetu | Download


Baada ya kurelease audio ya tofauti kabisa (Mchiriku) Rapper na mwanamziki Ney wa mitego wengi walidhani anatania au imevuja lakini ameonyesha yupo nayo serious baada ya kuamua kuifanyia na Music video kabisa.

Video imefanywa na Director JoozyWeezy wa Bang Films.


kama uliimiss audio ya wimbo huu huu download kwa kubonyeza link hapo chini.