Saturday, November 28, 2015

Picha: Davido Anunua gari la tisa la kifahari (Tazama na mengine 8 hapa)

Hit maker ambaye hata kaa asahaulike kwa vibao vyake kama skeleweu,Aye,Damiduro,Goba na vingine vingi pamoja na alichowahi kushirikishwa na Diamond wa tanzania Davido ameendelea kuonyesha nguvu ya utajiri wake baada ya kuachia picha ya gari alilojinunulia kwa ajili ya christmas,

Alipost kwa ukurasa wake wa insta akiandika

JUST COPPED ANOTHER WHIP FOR CHRISTMAS!! JUST WATCH! SHUTDOWN!! CANT WAIT TILL IT ARRIVES!

Ikiwa ni mda mfupi toka star huyo ajinunulie gari kwa ajili ya birthday yake hivi sasa kanunua jingine kwa ajili ya christmas,,

Hata hivyo si kitu cha kushangaza kwa msanii huyu wa nigeria kwani hili ni gari lake la tisa la kifahari. Pia mtu mwingine anayeongoza kwa magari ya kifahari nigeria ni prodyuza na mwimbaji Don jazzy wa Mavin records.
ama kweli mziki unalipa .