Saturday, November 28, 2015

Picha: Hapa ndipo 50 cents anapohifadhi hela zake

50 cents amepost picha ya fridge la nyumbani kwake likiwa limejaa pesa angalia picha hiyo hapo chini.

Hata hivyo ni wazi kwamba anakanusha madai yaliyozuka hivi karibuni ya kwamba amefulia.