Saturday, November 28, 2015

Video: Alikiba ft sauti sol Teaser

Baada ya kutoa hit na christian bella ya "nagharamia" Msanii alikiba amedhihirisha kufanya video na wakali wa album ya live and die in afrika "Sauti sol" Baada ya kupost video ya behind the scenes za video hiyo.

ALipost insta na kuandika “It’s Coming @sautisol #KujuaKaziRahaSana #KingKiba,” ameandika.