Friday, November 6, 2015

Christian ronaldo: Nimechoka Kufananishwa na Messi

Kinara cha real madrid Christian Ronaldo atangaza kuchoshwa kufananishwa na kinara wa barcelona

Kinara huyo aliongelea haya akiwa anatangaza kuachia filamu yake ya Ronaldo alisema kwamba yeye anastyle yake ya kucheza na Messi ana style yake hivyo wasifananishwe.