Wednesday, November 11, 2015

Picha:Ndani ya nyumba ya Donald Trump Yenye Gharama ya Bilioni 180

Bilionea na Mgombea uraisi Donald trump ambae amekuwa akiongoza kwa kulipwa kwa matangazo na jina lake kuwa jina linaloongoza kutajwa zaidi mtandaoni ameonyesha muonekano wa ndani ya nyumba yake ambapo kila kitu ni dhahabu.









Asante kwa kutembelea blog hii, Wewe ni mwanafamilia yetu ,tafadhali ungana nasi www.teezee255.com