Hili si tukio la kwanza la Nabii na mchungaji Tb Joshua kutabiri mambo au maafa yanayoeza kutokea na yakatokea kweli,
Mwaka jana Tb joshua alitabiri kuanguka kwa ndege na kuua watu wote maneo ya ukraine na russia au karibu na hapo...
Na jana maneno hayo yalijidhihirisha baada ya ndege ya Russia kuanguka penisula egypt na kuua abiria wote 224 waliokuwepo
Tazama video hii inayoonyesha matukio yote hayo. na utoe maoni

