Jana ilikua siku ya kuzaliwa ya mkali wa kukerer Iyanya wa nigeria ambapo happy birthday hiyo iliitwa white party ya iyanya ilifanyika kifahari kwenye jumba jeupe kama tulivyopost jana
na hizi ni baadhi ya picha ya yaliojiri kwenye birthday ya iyanya