Eric Omondi - Je utanipea | Utanipenda remix (Official Video) & Audio Download this Audio, video Monday, December 28, 2015 Kua wa Kwanza Kutoa Maoni Mchekeshaji na muigizaji wa kenya eric omondi ameacha remix (prank) ya kibao cha utanipenda cha diamond platinumz. Hata hivyo si mara ya kwanza kwa msanii huyu kufanya remix ya damond kwani alishawahi kufanya remix ya nasema nawe ya huyu huyu diamond platnumz. Angalia kisha utoe maoni. Umeipenda Hiyo? Sambaza :