Saturday, December 5, 2015

Exclusive : Kim Kardashian Ajifungua mtoto wa kiume

Familia ya mwanamziki Kanyewest na mwanamitndo Kim kardashian imepokea ueni wa mtoto wa kiume baada ya mwanadada kim kardashian kujifungua,

Hongera kubwa ziende kwao, Hata hivyo kim kardashian aliahidi kujitoa kizazi baada ya kujifungua mimba hii akimaanisha hataki mtoto tena.