Jux - One more Night (Official Video) this video Thursday, December 10, 2015 Kua wa Kwanza Kutoa Maoni Baada ya video mpya ya Jux ‘One More Night’ kuoneshwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base siku ya Jumatano Dec.9, sasa ameachia rasmi. Video hiyo imefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos. Umeipenda Hiyo? Sambaza :