New Music : Roma & Baghdad - Una akili wewe? | Listen & Download
Saturday, December 5, 2015
kwa mara ya kwanza utapata nafasi ya kuusikia wimbo wa baghdad na roma ambao ndani utasikia watu mashuhuri/maarufu zaidi ya 50 kutoka nyanja mbalimbali, viongozi wa serikali viongozi wa dini wacheza mpira wasanii wa bongo movie djs presenters, mzigo umepikwa tongwe rec. kwa mujibu wa baghdad na roma changamoto kubwa ilikuwa ni kuwa na watu wenye nafasi kubwa kwenye maeneo yao husika kama ruge mutahaba, reginald mengi, zito kabwe devic mwamunyange n.k
Download_Mp3_Hapa
Umeipenda Hiyo? Sambaza :