Saturday, December 5, 2015

New Music : Hemedi ft Mr blue - Some day | Download

Msanii na muigizaji hemedy ambae ameongoza kuachia audio nyingi zaidi mwaka huu kuliko miaka mingine japo bado yupo bongo movie.

Ameachia nyimbo nyingine inayoitwa some day aliyomshirikisha Mr blue.

Hata hivyo hii si mara ya kwanza hemedy kumshirikisha mkali huyo blue na hii inaonyesha wazi jinsi mr bllue anavyokubalika na hemedy.

Download_Mp3_Hapa