Thursday, January 15, 2015
Dah eee bhana eeeh kweli ni kitu juu ya kitu ma yung wameamua nakuletea kitu kingine kutoka kwa rapper Mrap anakuambia money makes the world go around akiwa na video queen matata wa video kama umebadilika na xo ya joh makini video imefanywa na joozy weezy na godfrey na Production ni Somebody Mbezi,,,,...