Sunday, January 18, 2015

Jux -Sisikii | Official Video

Mwanamziki aliyewahi kuwa Bhitz ambaye kwa sasa inadaiwa andate na mwanadada Vmoney(Vanessa Mdee) Amerelease video ya myimbo yake ya sisikii ambapo pia video queen wa nyimbo hiyo ni vanessa mdee ...pata nafasi ya kuiangalia na kutoa maoni yako hapa