Kleyah ft Barnaba - Msobe Msobe (official) this video Saturday, November 28, 2015 Kua wa Kwanza Kutoa Maoni Baada ya kurelease audio ya nyimbo yao msobemsobe iliofanyika High table studios ambazo ni studio ya msanii barnaba.Mwanadada Kleyah jana amerelease video ya wimbo wao wa msobemsobe kupitia Fnl (Friday night live) Video imefanyika na Director Hanscana Iangalie kisha utoe maoni Umeipenda Hiyo? Sambaza :