Saturday, November 28, 2015

Picha: Teser za Video mpya ya jux "One more night"

Baada ya kurelease clothing line yake ya "African boy" Jux ameenda kufanya video ya mziki south afrika ya mwimbo wa "One more night".

Hizi ni baadhi ya picha za scene tfauti tofauti kutoka kwenye video hyio iliyodirevtiwa na Justin campos.

Juzi tuu mpenzi wake vanessa mdee aliachia video yake ya never ever. Video hii ya jux itatoka mda wowote subcribe na stay tuned kwani tutakuwa wa kwanza kuipost.