Saturday, November 21, 2015

New Audio:Tula Mapenzi - Aiyolela


Msanii chipukizi kutoka kwenye label ya Kaburu Music Records ameachia ngoma yake mpya ya Aiyolela ngoma hiyo imefanywa na Producer Promise nyota.Msanii huyu kwa sasa

Msanii huyu kwa ssa yupo labelKaburu Music hivyo alivyoongea na uongozi wa website hii alitaarifu mashabiki waendelee kusubiri ujio wake na video mpya chini ya Kaburu Music Recordz.