Baada ya kutushtukiza na kionjo cha video mpya shaa ameamua kuachia video ya nyimbo hiyo "Toba " usiku huu.Ikumbukwe kwamba shaa ndiye anaongoza Tanzania na east africa kwa nyimbo yenye views nyingi zaidi youtube.Hivyo tutegemee chochote kwa video hii iliongozwa south africa na Justin campos wa gorilla films.
New music: Shaa -Toba (Official Video)