Mwaana hiphop aliyewahi kuhit na nyimbo aliyomshirikisha winnie "Nishike mkono" Darasacmg ameachia video ya audio yake "HeyaHaye" aliyomshirikisha mr blue..Audio imefanywa "frrenation reecs" produced by mr t touch.
Video imefanywa na hanscana wa Wanene Filmz
Dowwnload video hapa
